MKUU WA MKOA WA KIGOMA ATOA ONYO
Na zuleha Issa
.Mkuu huyo wa Mkoa ametoa onyo hilo katika uzinduzi wa mpango kabambe wa Maendeleo ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wa mwaka 2017 mpaka 2037 uliowasilishwa kwa wadau wa maendele.

Kwa upande wake Afisa Mipango miji wa kampuni ya CRM Land Consult Tanzania Limited, ambayo inashughulika na mipango miji na vijiji Evarist Mfinanga, amesema tofauti na mipango ya huko nyuma ambayo haikuwa na ushirikishwaji, mpango huo wa 2017 mpaka 2037 utakuwa na mafanikio makubwa.
Gharama zinazokadiriwa kukamilisha mpango kabambe wa maendeleo ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, ni zaidi ya shilingi trilioni 3.
Post a Comment