Header Ads

MWANASHERIA ALIYE KUMBATIA MITINDO TANZANIA

NA ZULEHA ISSA

SHERIA NGOWI

Tasnia ya ubunifu wa mavazi nchini Tanzania unakua kwa kasi. Sheria Ngowi ambaye ni mwanasheria kwa taaluma amefanikiwa kutangaza ubunifu wa mavazi ya kiume ndani na nje ya Tanzania na amewahi kutajwa na jarida maarufu la ubunifu wa mavazi la GQ kama "Tom Ford wa Afrika".
Miongoni mwa kazi zake ni kumshonea nguo aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Jakaya Kikwete.
Hata hivyo pia amewashonea viongozi wengine wa barani Afrika kama vile Rais wa Zambia Edgar Lungu.
Hivi karibuni alizungumza na mwandishi wetu BBC Sammy Awami.

No comments

Powered by Blogger.