Header Ads

BABA DIAMOND PLATNUM ATOA USHAURI KWA ZARI NA HAMISA



Baba mzazi wa Diamond platnum akiwa na mkwe wake Hamisa mobeto.
Dar es salaam
Baba mzazi wa msanii wa nyimbo za kizazi kipya Nasibu abdull alimaarufu kama Diamond platnum kutoka katika kundi la wasafi (WCB) ametoa ushauri kwa Zari hassani aneyefamika kama Zari au mama Tiffah na Hamisa mobeto.Amewashauri wawili hao kwamba kuheshimiana na kutosikiriza maneno yanayo endelea katika mitandao ya kijamii kuta wasaidia wao kutokulumbana na kuelewana. .
Hamisa Mobeto kushoto, Diamond Plattinum akiwa amembeba mtoto wake pamoja na mkewake Zari Hassani
Amesema hayo alipozungumza na kituo kimoja cha TV kinachorusha matangazo kupitia mitandao ya kijamii au TV kupitia internet, Ametoa ushauri kwao juu ya masuala yanayo endelea kuhusiana na mtoto mpya wa Diamond platnum aneyefamika kwa jina la Abduli nasibu aliezaa na msanii wa bongo muvi na mnogeshaji katika video mbalimbali za nyimbo.
Nasibu Abdul pamoja na Hamisa Mobeto

Mzee Abduli ambaye ndie baba yake Diamond amemtaka Zari kukubariana na maamuzi ya mzazi mwezie aliemkubari mtoto katika mahojiano yaliyo ruka live na kituo kimoja cha habari nchini nakumkubari mtoto.Aidha amemtaka pia asisikilize maneno katika mitandao ya kijamii na pia amempa ushauri Hamisa mobeto kutomzarau Zari kwakua ndie msichana anaejulika kua ndie mchumba rasmi.

No comments

Powered by Blogger.